![]()
![]()
Karibu mgeni uliyetembelea tovuti hii. Tovuti hii inayoendeshwa na Kanisa la Waadventista Wasabato Syukula, iliyopo mtaa wa Kiwira katika Kanda ya Juu Kusini mwa Tanzania, imejipanga kukuletea habari, taarifa, na matukio yatakayo kujenga na kukuimarisha kijamii, kiakili, kiroho, na kimwili. Tovuti hii pia itakukutanisha na rafiki yako kipenzi Yesu Kristo aliyekufia na ambaye hivi karibuni atakuja tena kukuchukua kwenye makao ya amani utakakoishi naye milele. Karibu tena na tena na uwajulishe wngine kuhusu tovuti hii.